Bumaco Insurance na Bumaco Life Washiriki Bima Walk Mkoani Arusha, Juni 19, 2025
- Iliwekwa 19-06-2025
Arusha, Juni 19, 2025 – Kampuni za bima Bumaco Insurance na Bumaco Life leo zimethibitisha tena dhamira yao ya kujihusisha na afya ya jamii na kukuza elimu ya bima kwa kushiriki kikamilifu kwenye tukio la Bima Walk, lililofanyika jijini Arusha.
