Bima ya Moto
Bima ya Moto ni bima inayomlinda mteja dhidi ya hasara zinazotokana na majanga ya moto. Majanga ya moto yanaweza kutokea wakati wowote, na yanapotokea, husababisha kubwa kwa mali na biashara.
Bima ya Moto ni bima inayomlinda mteja dhidi ya hasara zinazotokana na majanga ya moto. Majanga ya moto yanaweza kutokea wakati wowote, na yanapotokea, husababisha kubwa kwa mali na biashara.
Bima ya Dhamana ni aina ya bima inayolenga kutoa ulinzi wa kifedha kwa upande mmoja endapo upande mwingine hautatimiza majukumu au masharti waliyoafikiana kwenye mkataba. Kwa mfano, katika mikataba ya ujenzi au zabuni, mtoa huduma (kama mkandarasi) anaweza kutakiwa kutoa Bima ya Dhamana ili kuhakikisha kuwa kazi au huduma itakamilika kama ilivyokubaliwa.
Bima za Baharini ni aina ya bima inayohusiana na ulinzi wa mali zinazohusiana na usafirishaji wa mizigo kwa njia ya maji, kama vile meli, shehena, au vifaa vya usafirishaji vya baharini. Bima hii inalenga kulinda mali za biashara au watu wanaoshiriki katika usafirishaji wa bidhaa kupitia majini dhidi ya hatari mbalimbali zinazoweza kutokea baharini.
Bima ya ajali binafsi ni aina ya bima inayokulinda dhidi ya madhara yatokanayo na ajali za ghafla na zisizotarajiwa ambazo zinaweza kusababisha majeraha au kifo. Hii ni bima inayolinda familia yako na mali zako wakati wa kipindi cha matatizo, hasa pale ambapo ajali inatokea na haina uhusiano na makosa ya mtu mwingine.
Bima ya vyombo vya moto ni aina ya bima inayolenga kulinda mmiliki wa chombo cha moto dhidi ya hasara na madhara yanayoweza kutokea kutokana na ajali, wizi, au uharibifu wa chombo chake. Bima hii ni muhimu sana kwa kila mmiliki wa chombo cha moto, kwani inatoa ..
Bima hii hutoa kinga dhidi ya hasara ya kifedha itakayotokea kutokana na uporaji au wizi wakati wa usafirishaji wa fedha au ikiwa fedha hizo ziko katika majengo ya biashara. Bima hii hufidia fedha zinazobebwa na mhusika wa mkataba wa bima au wafanyakazi waliidhinishwa,
Biashara nyingi huwekeza kwa kiwango kikubwa katika ununuzi wa mitambo inayokidhi mahitaji yao mahususi. Hata hivyo, mitambo hii inaweza kukumbwa na hitilafu zisizotarajiwa katika matumizi yake. Bima ya Uharibifu wa Mitambo hutoa kinga dhidi ya uharibifu wa mitambo hiyo..
Bima hii ni mahsusi kwa ajili ya nyumba za kuishi pamoja na mali binafsi inayoweza kuhamishwa. Mali zinazolindwa na Bima hii ni pamoja na: Majengo ya makazi, Vifaa vya kielektroniki kama vile kompyuta, kamera, televisheni, redio, n.k, Samani za ndani kama viti, meza, makabati.