Bima hii ni mahsusi kwa ajili ya nyumba za kuishi pamoja na mali binafsi inayoweza kuhamishwa.
Mali zinazolindwa na Bima hii ni pamoja na:
Hasara Zinazolipiwa Fidia Zinajumuisha:
Ada ya Bima
Kiwango cha ada ya bima ya nyumba na mali hutegemea thamani ya mali kama ilivyokadiriwa mwanzoni mwa mkataba. Mkataba unaweza kubadilishwa ili kuakisi mabadiliko ya thamani ya nyumba au mali binafsi kila wakati mkataba wa bima unapohuishwa.