Bumaco Insurance na Bumaco Life Washiriki Kikamilifu Katika Jukwaa la Nne la Ushirikishwaji wa Watanzania Katika Sekta ya Madini

Bumaco Insurance na Bumaco Life Washiriki Kikamilifu Katika Jukwaa la Nne la Ushirikishwaji wa Watanzania Katika Sekta ya Madini

  • Posted on 17-06-2025

Bumaco Insurance na Bumaco Life Washiriki Kikamilifu Katika Jukwaa la Nne la Ushirikishwaji wa Watanzania Katika Sekta ya Madini

Read More

WATOTO WALIOPATA AJALI WAKITOKEA KANISANI WAPOKEA MALIPO KUTOKA BUMACO INSURANCE CO. LTD

WATOTO WALIOPATA AJALI WAKITOKEA KANISANI WAPOKEA MALIPO KUTOKA BUMACO INSURANCE CO. LTD

  • Posted on 06-06-2025

Wazazi wa watoto sita waliopata ajali wakitokea kanisani, ambapo mmoja wao alifariki dunia, wamekabidhiwa malipo ya gharama za matibabu na mazishi kutoka kampuni ya Bumaco Insurance. Ajali hiyo, iliyohusisha gari aina ya Haice, ilitokea mapema mwaka huu na kusababisha huzuni kwa jamii.

Read More

Je waijua Bima ya Majanga ya Moto?

Je waijua Bima ya Majanga ya Moto?

  • Posted on 30-05-2025

Bima ya majanga ya moto ni aina ya bima inayolinda mali yako dhidi ya uharibifu unaotokana na moto au majanga yanayohusiana na moto, kama vile kulipuka kwa gesi, cheche za umeme, au kulipuka kwa mitungi ya mafuta. Inatumiwa zaidi na wamiliki wa nyumba, wafanyabiashara, na viwanda ili kulinda mali dhidi ya hasara kubwa.

Read More

Dkt Saqware: Vijana mna nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko sekta ya bima kupitia ubunifu

Dkt Saqware: Vijana mna nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko sekta ya bima kupitia ubunifu

  • Posted on 24-05-2025

Kamishna wa Bima Tanzania Dkt. Baghayo Saqware ameyasema hayo wakati akitoa hotuba yake kwa wadau walioshiriki Bima Debate iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa chuo cha ACISP Masaki. Dkt. Saqware amesisitiza umuhimu wa vijana; wanafunzi wa sekondari na wanavyuo wasomi wabobezi masuala ya bima kuangalia changamoto mbalimbali katika soko na kuwa wabunifu kutatua.

Read More